Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa marafki woote waliohusika kwa namna moja au nyingine kunisaidia katika harakati zangu za kujiunga na chuo,toka kipindi cha tcu, heslb na mpaka sasa 2nd year .asanteni sana na pia tuweni serious kwa wale ambao bado wanaleta utani sababu forum hii ni msaada mkubwa kwa wale wasiojua mambo fulani fulani.