Shukurani Kutoka kwa Mtambuzi kwa wana Jamii Forum.

Cantalisia will keep updating us on how u are progressing if we wont manage to come personally. Get well soon and forgive some of us for not visiting u sooner.

Mkuu, dunia inakimbia ajabu, pamoja na kupata ajali lakini maisha ni lazima yaendelee............. nawashukuru sana kwa ukaribu wenu kwangu
 
Pole zote zikufikie,usijali ndo changangamoto za maisha!
 
Pole sana mkuu. Mungu azidi kukupa afya njema na upone haraka!
 
Mungu akubaliki na upone haraka mkuu wangu
 
...kaka, pole sana...nimefurahi kukusoma tena,
tupo pamoja kwenye kukuombea dua upone haraka.
 
Mungu ni mwema na kaskiza sala zangu! Ugua pole !
 
Hakika tulishamtanguliza MUNGU baada ya habari ku2fikia ile morning na naweza kusema ni matunda ya Imani ye2 imekuweka hewani,cna mengi ya kukwambia ila tunategemea utakuwa fit kadri siku inavyojongea Mtambuzi. Uwe na wakati mzuri kamanda!
 
Get Well Soon Man!!
 
kama haujambo utukufu apewe Mungu kwa uweza wake mkuu.
 

Mtambuzi,

Tunakuombea kila la kheri kwa Mungu, upate uponyaji haraka na kurejelea shughuli zako za kila siku kama kawaida. Tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…