Shukurani za dhati, nimepata mwenza

candiasis

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
371
Reaction score
439
Habari za masiku wakuu wa jamvi,

Hapo kipindi cha nyuma nilipost Uzi wa kutaka mwenza ambae ni single mother japo ulifutwa Mara mbili. Hakika kila jambo lenye kheri na lenye tija linamafanikio ndani yake na asieshukuru katika hayo atakuwa ni mkosefu.

Namshukuru Mungu amenipa njia na mwangaza katika hilo nashukuru wote walioniombea katika hilo. Siwezi kusema ni nani au yupi ila namshukuru Mungu kwa kunipa na nimekipokea.

Kuna siku kila mtu atafurahi na itakuwa sehemu ya furaha kwa wana JF wote.

ASANTENI SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE.
 
Sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…