Shukuru Kawamba unajisikiaje hali hii

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470


Sijui aliye kuteua ametumia vigezo gani.
Lakini hukustahili kurudi katika baraza la mawaziri hili.
Umeshindwa kabisa kuongoza Elimu, umeshindwa hata kuhamasisha angalau watoto, wajukuu zetu wasomee ndani ya madarasa wakae kwenye madawati inasikitisha sana.
 
Inauma na kupain sana; i think c maigizo it z rael exist in Tz, Viongozi hamuoni au hao c watz kama ninyi:A S-baby:?
 
Inauma na kupain sana; i think c maigizo it z rael exist in Tz, Viongozi hamuoni au hao c watz kama ninyi:A S-baby:?
waziri kashindwa hata kusimamia salary arreas za walimu na wahadhiri mbalimbali ataweza hilo la madawati? Haya hiyo chenji ya rada nayo imeingia labda hao wanaosomea hapo chini ya mbuyu watanufaika.

Ukweli mheshimiwa waziri walimu na wahadhiri wananyanyasika sana na mishahara kuchelewa na hata promotions zao hawalipwi hela yao wengine zaidi ya mwaka wanangoja arreas za promotions zao na walishadanganywa na claim form walizojaza februay 2012 hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…