Sasa angemwambiaje, labda alikuwa anasubiria nguo zikauke?
alikuwa kamwagiwa maji au ndo zimefuliwa nyumba dogo,,,
Inawezekana hiyo ndogo yake inafua kila siku ndo maana anachelewa.
Mke WA RAFIKI YANGU KAJA KULALAMIKA KUWA KAMUULIZA MMEWE "MBONA KILA SIKU UNARUDI NANE TISA USIKU "KWA NINI?
JAMAA KAJIBU SI USHUKURU NARUDI!
NIMESHINDWA LA KUMSHAURI
WANANDOA PLEASE TUSAIDIANE HUYU JAMAA ANA MAANA GANI?
NA DADA HAELEWI TUMSHAURI VIPI?
jamani jamani ndoa,,,,,,,,,,,,,,,, si ya kuchekesha lakini subhanallah ilibidi nicheke,,,,,, asema si ushukuru narudi,,,,, lol mume sie huyo,,,,,
Hivi kipi jema.... Aende alale huko huko asirudi au arudi nyumbani hata kama ni kwa kuchelewa?
Mpendwa Nilham, ndoa ni kitendawili kigumu sana... huyo ni mume ndio maana anaishi na huyo dada, sema mazingira yanayomfanya arudi saa 8 - 9 usiku wewe huwezi kuyajua, ni wao wawili ndio wanayajua.... inawezekana huyo mama ndio chanzo cha baba kurudi alfajiri... Waombe Mungu awaongoze katika ndoa yao...
aamin ya raab........lakin si uzuri kurudi nyumbani kwako saa 2 au3 usiku..kwani hata kama kuna sababu ni kukaa na kuizungumza tuu kuliko kuumizana nafsi kiasi hicho......Hivi kipi jema.... Aende alale huko huko asirudi au arudi nyumbani hata kama ni kwa kuchelewa?
Mpendwa Nilham, ndoa ni kitendawili kigumu sana... huyo ni mume ndio maana anaishi na huyo dada, sema mazingira yanayomfanya arudi saa 8 - 9 usiku wewe huwezi kuyajua, ni wao wawili ndio wanayajua.... inawezekana huyo mama ndio chanzo cha baba kurudi alfajiri... Waombe Mungu awaongoze katika ndoa yao...
Askofu mahubiri yako ya hapo juu kidogo yanautata. kuna jema hapo?
aamin ya raab........lakin si uzuri kurudi nyumbani kwako saa 2 au3 usiku..kwani hata kama kuna sababu ni kukaa na kuizungumza tuu kuliko kuumizana nafsi kiasi hicho......
mke wa rafiki yangu kaja kulalamika kuwa kamuuliza mmewe "mbona kila siku unarudi nane tisa usiku "kwa nini?
Jamaa kajibu si ushukuru narudi!
Nimeshindwa la kumshauri
wanandoa please tusaidiane huyu jamaa ana maana gani?
Na dada haelewi tumshauri vipi?