Shule bora kwa ufaulu na kombi wanazoongoza

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wakuu kwa utafiti niliofanya nimegundua kuwa,shule bora za serikali na kombi wanazotoa kwa boys ni ,Tabora boys>>HGL,PCM MZUMBE>>HGL ,PCB ,KIBAHA>>PCM,ECA&CBA ,ILBORU >>HGL,PCM , MINAKI>> EGM,HGE, GALANOS>>EGM,HGE ,NDANDA>>EGM,, TOSAMAGANGA>EGM
 
Acha upuuzi wewe....

Hivi unaijua KISIMIRI...??

Unaijua TBR GIRLZ...??

Unaijua LYAMUNGO...??

Unawajua KILAX wewe...??
 
Acha upuuzi wewe....

Hivi unaijua KISIMIRI...??

Unaijua TBR GIRLZ...??

Unaijua LYAMUNGO...??

Unawajua KILAX wewe...??
Hujielewe wewe -----
nimesema shule za boYs mkiitwa vilaza wa shule za kata mnachukia achakukurupuka kilaza wewe,dogo perfomance zao hao nao wamo mfano kilakala>>pcb ,taboragals>pcm ,shule kama KISIMIRI HATUWEZI KUIWEKA HAPA BADO NI CHANGA SANA
 
mpigamsuli muhuni sana wewe...lol
Yan umeedit post yako,ukaongeza boys ili unidake viziri....
Haya bhana....

Turudi madani...
Hivi unaifahamu vizuri KISIMIRI....
Una habari kuwa ni shule spesho....

Hivi unahabari kisimiri iliongoza kwa shule za serikali kufaulisha mwaka 2012...
Ile kitu ni next level
 
Last edited by a moderator:

hatuwezi kuisifu sana hiyo shule ndiyo ni special mpya ,tukifanya hivyo shule kama kilosa iliwahi kuwa ya4 nayo tuisifu?
 
Last edited by a moderator:
hatuwezi kuisifu sana hiyo shule ndiyo ni special mpya ,tukifanya hivyo shule kama kilosa iliwahi kuwa ya4 nayo tuisifu?

Acha nikuulize swali....
Umetumia kigezo gani kupanga hizo shule...??
Obvious utakuwa umerefer ufaulu wa hizo shule...!!

Ndanda,tosa,galanosi...?? What to do with.??Full of shame...
Wapi Kibo,kifungilo,kilosa...??
 
Nakuamuru katazame matokeo ya hizo shule kama pugu,minaki,tosamagnga kwenye mtandao kwa miaka mitano mfululizo uone wanavyofanya vizuri kwenye hizo kombi
 
Nakuamuru katazame matokeo ya hizo shule kama pugu,minaki,tosamagnga kwenye mtandao kwa miaka mitano mfululizo uone wanavyofanya vizuri kwenye hizo kombi

Acha mambo yako mpigamsuli.....

Pugu kuna nini pale...??
Ndanda nao unawazungumzia.?
Tosa...???

Twende wote tukaangalie matokeo yao,then tuyaweke kwenye mzani na kibo,kifungilo,kilosa....we'll then see who'll come back with hand tied behind the back...!!!
 
Last edited by a moderator:

ILIBORU ipo kenya au?
 
Acha nikuulize swali....
Umetumia kigezo gani kupanga hizo shule...??
Obvious utakuwa umerefer ufaulu wa hizo shule...!!

Ndanda,tosa,galanosi...?? What to do with.??Full of shame...
Wapi Kibo,kifungilo,kilosa...??

Hapo kwenye ndanda tuache kama tulivyo kuhusu kombi za uchumi...ni balaa ndugu asikwambie mtu,katika 105 wa mwaka huu zaidi ya 97 tunaenda chuo......usikariri majina ya shule kaka
 
umesahau PUGU BOYS >> EGM ni noma kwa hiyo comb!
 
Kwa sasa hakuna kama Kisimiri tz yote kwa Govn Schools,,,...
Hata ugiriki na ethiopia husifiwa kuwa zamani yalikuwa great nation ndo sawa na tbr boys atleast tbr grls wako hai
 
Hapo kwenye ndanda tuache kama tulivyo kuhusu kombi za uchumi...ni balaa ndugu asikwambie mtu,katika 105 wa mwaka huu zaidi ya 97 tunaenda chuo......usikariri majina ya shule kaka
Mbrazili....
Najua unavuta kamba upande wako...
Hivi ndanda pale kuna nini pale,mashine ya kufyatua miswaki...hakuna kitu usitupe fact zisizo na mashiko...

Mwaka jana pale shuleni kwetu,ililetwa tuzo kutoka necta kua ndio shule iliyopeleka wanafunzi wengi chuo TZ nzima,lakini hata top 100 haikuwepo....
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa hakuna kama Kisimiri tz yote kwa Govn Schools,,,...
Hata ugiriki na ethiopia husifiwa kuwa zamani yalikuwa great nation ndo sawa na tbr boys atleast tbr grls wako hai

Aseee unamadini mengi kichwani....thumb up,hawa akina mpigamsuli wamekariri hizo shule zao, waliposoma vilaza ambao ndo wamelididimiza taifa letu...

Kisimiri noma,uwezi pambanisha na izo shule zenu za kitamboo
 
Wewe wawapi wewe jilaumu kwa kufeli form4
 
Wewe wawapi wewe jilaumu kwa kufeli form4

Una chakuniambia dogo booa ulalie mgongo....tena si ajabu wewe umesoma arts MTOTO wa kiume......

Hivi unamjua BEN CARSON....
unamjua BILL GATES....
unamjua HONDA....
unamjua EDSON...

Fuatilia curricular profile zao...walikua vilaza class lakini wapo level gani sasa....??

Haya nilifeli form 4 sikuenda TBR boyz,leo naenda UDSM...tena cozy lulu dunia nzima (petroleum=oil and gas)...
Wewe na uboyz wako upo chuo cha kimagumashi (kitukuu changu)
 
Achana na mimi wewe kilaza kabisa yaani mtihani wenu ulivyokuwa rahisi hata AAB umeshindwa sasa kwa taarifa yako nilifaulu masomo yotee mpaka physics,chemistry,maths,biology ambayo japokuwa ndio kombi yako uliyashindwa
 
mtu mwenyewe umesomea newera secondary hahaha aibuuu tupuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…