Shule bora kwa ufaulu na kombi wanazoongoza

Hahahaha,,,vipaji vya kukariri majibu na njia za kupata majibu sio vipaji,,.kipaji halisi ni kufanya vitu visivyo hai kuwa hai kwa vitendo na mbinu tofauti,.so popote utaposoma kama una kipaji halisi wewe ni kipaji maalumu bila kujali matokeo yako ya darasani na ndo maana movers and shakers wa dunia hii,mahala popote sio wenye elimu ya darasani bali wenye vipaji halisi
 
Achana na mimi wewe kilaza kabisa yaani mtihani wenu ulivyokuwa rahisi hata AAB umeshindwa sasa kwa taarifa yako nilifaulu masomo yotee mpaka physics,chemistry,maths,biology ambayo japokuwa ndio kombi yako uliyashindwa

mpigamsuli bhanaa....
Sijawahi kutarajia kama unaweza kuwa kilaza kiasi hiki..

Pole sana kwa kuwa genious mwenye bongolala...ndio sikatai olevel sikupata hiyo AAB,worse enough sijui hata A ya Necta inakuwaje....

Wewe mwenzangu mwenye AAA,sikutegemea ungekua Muccobs sahizi na A zako...

Dogo maisha ni technique,kama kicheza karata...
I'm here to nurture you
I wanna take you further
This is what we do;
Working all winter
Shining all summer
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma Landcruiser...
Hujui mchezo uliochezwa hapa,hiyu mpigamsuli m.nge.se sana,kanichezea mchezo mchafu....
Yani ame-edit post yake baada ya mimi kutuma comment yangu..huyu mtoto mjinga sana...

Nenda zako hukai na kusoma thread kwa umakini unakurupuka
 
Last edited by a moderator:
Thread ishakuwa ya taarabu hii...acha nipite........
 
Shule hizi zimeshuka sana wakuu matatizo ni yapi?
 

umekurupuka 2 ww! tbr boys hawaongozaki Hgl hata cku moja! Pcm hapo sawa, Tbr gals haijawah ongoza pcm, ni Hgl na Cbg
 
jaman who told u course yako ni lulu dunia nzima?kama unataka kujua ni lulu au la just angalia kwa kazi zinazolipa duniani ukiikuta no1 then come back useme ni lulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…