shule bora ni ipi?

Matty96

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
215
Reaction score
194
habari zenu wadau. Eti kati ya shule ya serikali kama mzumbe au kibaha na shule ya binafsi kama maua seminary au nyegezi seminary kwa wanaozifahamu bora kwenda wapi.... serikalini ama shile binafsi.....

Maoni yako yanahitajika na sio ukorofi
 
Kama hujiamini sana kichwani nenda Feza au hata hiyo Nyegezi sem, kwani kilicho maalum kwenye shule za vipaji maalum ni wanafunzi wenyewe na si vinginevyo.
 
Kama hujiamini sana kichwani nenda Feza au hata hiyo Nyegezi sem, kwani kilicho maalum kwenye shule za vipaji maalum ni wanafunzi wenyewe na si vinginevyo.

teh teh kumbe unakuwaga na akili muda mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…