AjeyTz
New Member
- Aug 11, 2018
- 2
- 0
Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani nzuri nawez mpeleka yenye ada rahisi na wanafundisha vizuri isio zid laki 6 kwa mwaka