Shule gani ulizososoma wanashusha viboko kisawasawa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
binafsi tangia primary na o level shule nlizosoma tulikua hatujui viboko ila a level hali ikawa ndivyo sivyn nlienda shule inaitwa sangu sio siri walimu wakikushushia mvua utasema wanafanyia sifa tena wanapokezana ni noma hadi mwalimu anasimamia foot toes ili usikie stimu dah acha tu wadau nyie je?
 
MAZINYUNGU SECONDARY..Hapa walimu wanajua kuchapa zaidi ya kufundisha
 
lyamungo secondary mpaka mpishi alikuwa mbabe
 
Naura primary school pale arusha mjini..walimu wanachapia sifa.
 
walimu wote waliopitia JKT walikuwa wanagawa dozi hasahasa

Mambo ya kuchapana viboko yalishapitwa na wakati na ni waafrika tu labda na singapore ndio wanafundisha kwa viboko. Mbona nchi ZILIZOSTAARABIKA hawapigi wanafunzi na still wanaperform vizuri tu na ndio wafadhili tunaowategemea. Huku Afrika viboko kwa sana lakini bado ubwege na ukapuku unazidi kuongezeka.
 
Kulikuwa na mwalimu mmoja anaitwa Wasinyo.alitufundisha hesabu Mwenge shule ya msingi kisha baadaye akahamia Lugalo primary.Sitakaa nimsahau ktk maisha yangu na yeyote aliyeingia anga zake hawezi kumsahau asilani kwa kunyuka mikwaju
 
Kuna horombo sekondar,kuna teacher ashanichapa fimbo zaid ya 30
 
Karibia zote nilizopitia!!!Manyara Ranch mojawapo
 
Kuna mmoja huyo ilikuwa unaingiza kichwa chini ya kiti au meza,ukipigwa fimbo lazima uinuke na kiti.

okay men hii ni too much, huo ubunifu wa waalimu kufikiria style mpya ya kushushia bakora ungewekwa kwenye elimu wat a better place it would have been
 
Kulikuwa na yule mkuu wa shule ya sekondari ya jeshi Lugalo, yule ambaye pia alikuwa anajishughulisha na mambo ya michezo sijui Kanali Kipingu kama sijakosea - wacha mchezo kwa viboko bwana.

Kuna siku nilikwenda na kijana wangu kutaka kutafuta nafasi ya F5 pale, nikakuta huyo mkuu yuko kwenye kazi ya viboko - mbona niliondoka na kijana wangu bila hata kuzungumza naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…