Shule gani ulizososoma wanashusha viboko kisawasawa


Ninamashaka na kama unakijua ulicho kisema, kijana maendeleo yoyote yale hutokea kwa hatua moja baada ya nyingine na pia huitaji muda, kijilinganisha wewe na baadhi ya nchi za ulaya kama Uingereza ni sawa na kuruka hatua ya makuz na ustarabikaji, kumbuka kwamba mataifa ya ulaya ndio yalikuwa yana mambo ya kishenz kupindukia kuliko hata hapa Afrca maana utumwa na viboko vilianzia huko ulaya, je unakumbuka mijered ilioletwa na Vasco da gama hapa Africa mashariki? Ni mijeredi hiyohiyo ndio iliozaa salam ya kitumwa 'shikamoo' ili uepukane na mijeredi yake...hivyo basi wazungu hawa walishapitia mfumo huo wa bakora na kuuona unamadhara hadi kuamua kubadilika wenyewe katika utii bila shuruti hii ni kwa sababu tayari wameshajijengea mazingira ya mtu kutii bila kushurutishwa, ni waz utakubaliana na mimi kuwa wazungu wengi baadhi yao wako makini katika kutii maagizo wenyewe bila shuruti hususani katika kutunza muda na ukitaka kuthibitisha hilo mtazame mbongo katika suala la kutunza muda ni matatizo makubwa, vivyo hivyo kwa sisi wafrika wengi hatuna self discipline tunasubiri mpaka viboka kufanya mambo fulani, hivyo bado tuko katika hatua ya mabadiliko kuelekea kwenye 'self discipline' hivyo viboko lazima vichukuwe nafac wakati tukisubir kizaz chetu kiwe na self dscipline, wanafunz bila vboka hawaendi na hata discipline itasoma zero kabisa, embu fikiri mpaka leo hii katika taasisi na hostel wanakokaa watu walioelimika kabisa nenda vyooni utakuta ameharibu na ameacha hivyohivyo...je huyo mtu utamlinganisha na mtu wa kutoka ulaya? Dhahili mtu huyo hana self discpline japo ni msomi na anahitaji bakora mpaka atapomudu kutunza utu wake...hivyo bado hatujafikia hatua ya kusitisha viboko kwani kwa kufanya hivyo tutakuwa na taifa la wendawazimu wasio na dscpline, wakati ukifika viboko vitaondoka vyenyewe pale mtu atapokuwa anaweza kuambiwa kwa maneno na kwa maandishiau matangazo na kutii bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…