Shule hii mhnn

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Shule hii inanafasi za shule je wahitaji kumpeleka mwanao??:wink2:
 

Attachments

  • basi la shule.png
    59.6 KB · Views: 128
Tusitafsiri lugha za wenzetu kwa maana zetu,tutakua tunakosea sana.wenye lugha waachiwe wenyewe!!!mfano wahindi na wajapani wana majina yao kikwetu ni matusi ila kwao haina maana chafu.Hata maneno yetu mazuri huenda kwa wengine ni vituko.tusiulize ni wapi ilipo na wao wanamaanisha nini kikwao
 
Hamna cha lugha hapa kenya kiswahili hawakijui??tena mombasa??mkuu xkalinga hii nibrudani!!dont take seriously br!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…