INAUZWA Shule inauzwa Dodoma mjini, bei ni Tsh. Milioni 250

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu

Eneo lipo mtaa wa pinda, dodoma mjini

Bei ni tsh 250m
Call/WhatsApp +255758844717

Call/WhatsApp +255758844717


Your browser is not able to display this video.
 
Na hiyo Treni kuna utulivu kweli hapo?...achana na barabara hiyo....mbona vichakani sana?..aisee
 
Ina mtaji wa wanafunzi wangapi wa kuanzia?
 
Imekuwaje hadi kuuza, hayo mauzo ni pamoja na walimu ? Kwa jina la shule mikopo ni kiasi gani huko kwenye taasisi? Ina hadi darasa la ngapi? Je walimu na watoa huduma wengine wanadai kiasi gani na nani atawalipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…