beleza delgado Senior Member Joined Apr 8, 2014 Posts 109 Reaction score 17 Aug 30, 2014 #1 Ni shule gani hapa Dar wanafundisha Englisha vizuli na kwa haraka.
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,252 Aug 30, 2014 #2 British Council, ila sijui unapisema kwa haraka hapo unaniacha dillema, unataka kujifunza kwa siku1 au week?
British Council, ila sijui unapisema kwa haraka hapo unaniacha dillema, unataka kujifunza kwa siku1 au week?
beleza delgado Senior Member Joined Apr 8, 2014 Posts 109 Reaction score 17 Aug 30, 2014 Thread starter #3 Miezi mitatu kiac,ipo maeneo gani plz.?
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,252 Aug 30, 2014 #4 Posta mpya, mtaa wa Ohio/Samora. Pale unafundishwa na wazungu, ila jipange naona ada zake zinaanzia 500000,
Posta mpya, mtaa wa Ohio/Samora. Pale unafundishwa na wazungu, ila jipange naona ada zake zinaanzia 500000,