Shule ipi bora kati ya Kandoto, Precious blood na Maria goreth

St. Mary gorret ni nzuri....but all in all catholic schools are ever best..
St mary gorret ni kongwe kidogo kati ya hizo ulizotaja na ina rank nzuri sana kimkoa na kitaifa...
I prefer St. Marry Gorret
asante kwa ushauri mkuu.
 
Ujamaa = changia pato la taifa
kujitegemea = huduma zote tafuta mwenyewe

Zote tatu hizo ziko juu mzazi chagua moja tu mtoto akatafute nondo ili aje ajitegemee kama wewe!!
nimependa huo uchambuzi..
shukrani kwa ushauri mkuu
 
Maria Goreth iko poa.Pale Kandoto kuna ukiritimba unaoanza kuibukia ambao unasababishwa na uongozi wa shule.Pia Preciuos blood iko poa lakini ni mpya kwenye game kwa hiyo mpeleke SMG(St Maria Goreth).Mkuu angalia na mfuko wako pia.
 
Mpeleke Maria-goreth ni nzuri,girlfriend wangu alisoma hapo akachomoka na div one ya 9!!
 
I strongly advise U 2 send her at St Maria Goret. I have bad experience with Kandoto thus why I dont advise U.
 
Issue ni Bongo la mtu mwenyewe sio shule!!!😱hwell:
 
Peleka Mary goreth akutane na Sister Njau cntomsahau yule sisiter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…