Shule kufunguliwa kesho Julai 20, 2023 baada ya kufungwa sababu ya mgomo

Shule kufunguliwa kesho Julai 20, 2023 baada ya kufungwa sababu ya mgomo

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Wizara ya elimu imetangaza kuwa masomo katika shule za kutwa zilizokuwa zimefungwa leo katika kaunti za Nairobi, Kisumu na Mombasa yatarejelewa kesho Alhamisi.

Awali Serikali ilitangaza kufunga shule hizo kutokana na vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini lakini sasa imeeleza kuwa utulivu umerejea.

Ikumbukwe Upinzani umepanga kufanya maandamano ya siku tatu mfululizo.

Pia soma:
- Serikali yaamuru shule kufungwa (kuelekea maandamano kesho Julai 19, 2023)
 
Kwa lugha ya waliosoma Cuba hii inaitwa kuunga mkono maandamano japo haujashiriki.

Maandamano ya kisomi hayo.
 
Back
Top Bottom