Wadau tujadili hizi shule hasa binafsi kuweka alama za wastani ambazo kama mwanafunzi asipofikishwa anatakiwa kurudia darasa au kuondolewa shule.
Hii inasababishwa na hali ya shule kuondoa wanafunzi wenye uelewa mdogo ili kufanya shule kupata sifa ya ufaulu..je hii ni halali?na kama mzazi akilazimisha mtoto aendelee na shule,uongozi wa shule unaweza kumkatalia?na kama wakimkatalia mzazi anaweza kuchukua hatua gani za kiwizara au kisheria....hii hali imezidi sana inabidi ikomeshwe.