Shule maalumu za watoto watukutu

Shule maalumu za watoto watukutu

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Wakuu, natafuta shule ya sekondari kwa mtoto wa kike, ambayo wanafunza maadili mema na kusaidia kurekebisha tabia. Naomba msaada kwa mwenye kujua shule za namna kama zipo Tanzania. Imekuwa changamoto kumwadhibu mtoto, inaweza kuleta balaa, hivyo naamini kuna watu wenye taaluma hizo. Angalizo, shule hizo zisiwe zile za kupeleka watoto waliofungwa na mahakama. Natafuta, shule wenye uzoefu wa kurekebisha tabia na kuwapa maadili mema.
Tafadhali nawalisha.
 
JF, home of great thinkers, hakuna mwenye changamoto kama hiyo, wazazi au wengineo!!!
 
Asante wakuu, Plesis na Paka Jimmy.

@ Plesis, taratibu zikoje kwa Kibosho girls, hii ni private school, naomba unisaidie taarifa zaidi.
 
ndiyo ni private(ya kanisa). ile ni shule inayoendeshwa masister. kitaaluma ipo vizuri.
 
Kivosho girls nakataaa katakata,,,,yaani binti wa jirani aliondoka mzuri wa tabia ila huko kulimuharibu balaa,,,kama una pesa na upstairs yuko fresh mfungulie biashara,,akijishtukia ataomba kusoma mwenyewe,,,
 
Back
Top Bottom