Shule moja ya ST kayumba wanafunzi wa sekondari hawajui hata ragi ya nywele zao kwa kiingereza na Raisi wa nchi

Shule moja ya ST kayumba wanafunzi wa sekondari hawajui hata ragi ya nywele zao kwa kiingereza na Raisi wa nchi

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Hi elimu ya Tanzania ni pasua kichwa, alf viongozi wetu wa elimu wanaona kila kitu kiko sawa tu, mitano tena
 
Ila wasukuma wenzagu mnashida sana

Blaka cala ndo nini sasa
 
Nimemteua To yeye na leejay49 WAKALICHUNGUZE na Kuliangalia ili swala watuletee muafaka nini kifanyike.
 
Sasa tangu anazaliwa ni Kisukuma tu, Kiswahili kakutana nacho msingi. Kapiga Kiswahili weeeh, ile anaanza kukipatapata mara ghafla bin vuuu yuko sekondari, kingeeee hiki hapa!! Tunawatesa tu watoto.
 
Aisee, Four colour tena. Inasikitisha sana, Kwa Hali hii MCC watatawala milele, na Hali hiyo hiyo njoo hata huku mijini vimaswali vya kawaida tu utacheka sana, a long way to go.
 
Before kulaumi serikal viongoz na walimu jamii/ wazaz wana elimu gan kuhusu umuhimu wa elimu

Hilo swali mtoto wa la kwanz anajibu vzr tuu na anajifunz ktk mazngr ya nyumbn ,
 
Back
Top Bottom