Sasa tangu anazaliwa ni Kisukuma tu, Kiswahili kakutana nacho msingi. Kapiga Kiswahili weeeh, ile anaanza kukipatapata mara ghafla bin vuuu yuko sekondari, kingeeee hiki hapa!! Tunawatesa tu watoto.
Aisee, Four colour tena. Inasikitisha sana, Kwa Hali hii MCC watatawala milele, na Hali hiyo hiyo njoo hata huku mijini vimaswali vya kawaida tu utacheka sana, a long way to go.