Shule nzuri hii jamani loh ! Mi na Ualimu damu damu!

Shule nzuri hii jamani loh ! Mi na Ualimu damu damu!

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,358
Salaaam wakuu(humu ndani kila mtu mkuu mmh hadi mwanafunzi wako )!! ......Basi bwana shule ipo kidigitali zaidi si tumekabidhiwa full mapowerpoint,macomputer mpakato(laptop) kila mwalimu na yake ha ha no chaki (mana nilikuwa nawaza maziwa ntapata wapi loh??) full kuSLIDE haaagh kwanini watoto WASIFAULU ole wake mtoto wa mtu afeli darasani kwangu!!!(kama mburula je?)............. Ila hizi laptop hizi na hawa walimu wa dot.com mmmh miye sisemi.......... Basi ndo hivyo kashule ketu kamejitahidi muige mfano nyie WAKUU wa shule MSILE pesa za shule(ila kijiko cha chai kinaruhusiwa(sijasema mimi).....lakiniii kuna wakati nilisikia serikali inampango wa kusambaza computer mashuleni kila mwanafunzi na yake umeishia wapi?........ Anyway..kwaherini wapendwa naandaa minotes nayo mingi aaaagh.....ualimu wito!!!
 
Munkari watoto wasipofaulu basi sababu itakuwa kutumia lap top ya shule kushinda jf....naamini hujajaza movies...
 
Munkari watoto wasipofaulu basi sababu itakuwa kutumia lap top ya shule kushinda jf....naamini hujajaza movies...

ha ha ha Tyta hapa nipo nainstall maprogram yakufa mtu!! Wallah kuna siku ntaandika ubaoni jukwaa la elimu hee afu sijakuzoea hivi emu sababisha basi ...
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha Tyta hapa nipo nainstall maprogram yakufa mtu!! Wallah kuna siku ntaandika ubaoni jukwaa la elimu hee afu sijakuzoea hivi emu sababisha basi ...

watoto waelewe..
_45206900_01_serena_afp.jpg
 
Aisee, hiyo shule ipo wapi hapa Tanzania? Ninaye anaitwa happy Ila yupo Musoma

shule zpo nyingi tena za kata. kuna moja huku kwetu kama c ppt bac ni whiteboard upo apoooo. uongozi wa kata yetu iko makini sema madent wenyewe ndo ugonjwa.
 
Back
Top Bottom