Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,358
Salaaam wakuu(humu ndani kila mtu mkuu mmh hadi mwanafunzi wako )!! ......Basi bwana shule ipo kidigitali zaidi si tumekabidhiwa full mapowerpoint,macomputer mpakato(laptop) kila mwalimu na yake ha ha no chaki (mana nilikuwa nawaza maziwa ntapata wapi loh??) full kuSLIDE haaagh kwanini watoto WASIFAULU ole wake mtoto wa mtu afeli darasani kwangu!!!(kama mburula je?)............. Ila hizi laptop hizi na hawa walimu wa dot.com mmmh miye sisemi.......... Basi ndo hivyo kashule ketu kamejitahidi muige mfano nyie WAKUU wa shule MSILE pesa za shule(ila kijiko cha chai kinaruhusiwa(sijasema mimi).....lakiniii kuna wakati nilisikia serikali inampango wa kusambaza computer mashuleni kila mwanafunzi na yake umeishia wapi?........ Anyway..kwaherini wapendwa naandaa minotes nayo mingi aaaagh.....ualimu wito!!!