Shule nzuri karibu na Tabata au mtoto apande gari moja hadi shule

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Mtoto wa ndugu yangu anatakiwa ahamishwe kuja Dar. Atakua akiishi Tabata, Dar. Form 3, wa kike. Naombeni mapendekezo shule gani tumpeleke. Day school preferably, and not more than one daladala from Tabata, govt or private school
Asanten
 
Gov mpeleke migombani au zawadi yebo yebo.private loyola ni karibu na tbt ,christ the king tabata magengeni,au Tusiime sec
 
Usithubutu kumpeleka shule moja inaitwa Madiba Sec..shule inafanana na mapango ya Amboni majengo yake..watoto wanasomea kwenye mabanda ya ng'ombe...mkuu na msaidizi wake wanagonga watoto wa kike mpaka soo wanawanunulia chips na sprite.

Mpeleke Christ the King Tbt Magengeni.
 
Dah! Balaa
 
Mtoto wa ndugu yangu anatakiwa ahamishwe kuja Dar. Atakua akiishi Tabata, Dar. Form 3, wa kike. Naombeni mapendekezo shule gani tumpeleke. Day school preferably, and not more than one daladala from Tabata, govt or private school
Asanten

try Yusuf Makamba Sec School
 
Back
Top Bottom