Shule nzuri kwa makombi haya

Shule nzuri kwa makombi haya

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
2,490
Reaction score
2,965
Mimi ni kijana niliyehtim kidato cha nne mwaka jana e naomba mnitajie shule nzuri kwa combination za PCB na EGM na CBG za serikal .
 
kama ww ni wa jinsia ya kiume... Mara boys high school-musoma (EGM) iko vyema...
 
Yani mpaka umemaliza shule hujajua shule nzuri? Sasa ulijaza nini kwenye zile fomu za kuchagua shule tatu uzipendazo?
 
Yani mpaka umemaliza shule hujajua shule nzuri? Sasa ulijaza nini kwenye zile fomu za kuchagua shule tatu uzipendazo?

mkuu mbona hilo ni jambo la kawaida kabisa kwa wanafunzi bana!!

ngoja nikuchekeshe bana,

kipindi sie tunajaza form za kuchagua hizo shule za A level, kuna jamaa bana alijaza st. augustine university eti akasomee hapo...! kuja kuelimishwa ndio akajua kuwa st. augustine ni nini!

wanafunzi wanasoma tu kama wajibu... wengi hawajui malengo yao!
 
nenda Kibaha kama una malengo ya udaktari lakini atleast uwe na ABB
 
Back
Top Bottom