Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Mimi ni kijana niliyehtim kidato cha nne mwaka jana e naomba mnitajie shule nzuri kwa combination za PCB na EGM na CBG za serikal .
Kitu Tosamaganga high school mzee, safi sana kwa EGM, PCB and CBG
Nzumba wahi sasa.
Yani mpaka umemaliza shule hujajua shule nzuri? Sasa ulijaza nini kwenye zile fomu za kuchagua shule tatu uzipendazo?
kama ww ni wa jinsia ya kiume... Mara boys high school-musoma (EGM) iko vyema...