Shule nzuri ya advance

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private
 
Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private

NJOO ITENDE HIGH SCHOOL, MBEYA MJINI; HGL, HKL, HGE & HGK! fomu 10,000/= ADA 400,000 KWA MWAKA+BWENI 500,000/= JUMLA 900,000/= TUCHECK, 0754734009
 
Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private
nzuri kwa vigezo vipi?nzuri ya wasichana pekee,nzuri ya wavulana pekee au nzuri ya mchanganyiko?lakini pia kwa mchepuo gani?
 
Shule iwe ya bweni na iwe ya wavulana kama hakuna basi iwe mchanganyiko iwe na masomo ya sayansi
 
Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private

mm naamini shule nzuri ni kichwa cha mtoto mwenyewe ila ukitaka uwe na uhakika kuwa mwanao atafaulu mpeleke Feza Boyz au Marian Girls kama ni msichana otherwise ni yy mwenyewe ila kiukwel shule co kgezo xana kgezo ni bidii ya mwanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…