hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 3,553 Reaction score 7,334 Jul 22, 2024 #1 Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 23, 2024 #2 hydroxo said: Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu. Click to expand... Kwa nini mtoto asome high school private wakati serikali ina inabshule nzuri? Chalinze kuna shule nzuri ya Private ada ni shilling million 7 kwa mwaka. Unapopeleka mtoto high school ya serikali maana yake una pesa za mchezo.
hydroxo said: Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu. Click to expand... Kwa nini mtoto asome high school private wakati serikali ina inabshule nzuri? Chalinze kuna shule nzuri ya Private ada ni shilling million 7 kwa mwaka. Unapopeleka mtoto high school ya serikali maana yake una pesa za mchezo.
YONASHA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2018 Posts 504 Reaction score 1,167 Jul 23, 2024 #3 Mariani boys One 3 had 7 Bei 2.5mil
kibori nangai JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 1,430 Reaction score 2,130 Jul 23, 2024 #4 hydroxo said: Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu. Click to expand... Iko mkoa gani mkuuu na unapendelea shule za aina gani ,za kidini au zisizo za kidini Tuanzie hapo
hydroxo said: Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu. Click to expand... Iko mkoa gani mkuuu na unapendelea shule za aina gani ,za kidini au zisizo za kidini Tuanzie hapo
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 3,553 Reaction score 7,334 Jul 23, 2024 Thread starter #5 kibori nangai said: Iko mkoa gani mkuuu na unapendelea shule za aina gani ,za kidini au zisizo za kidini Tuanzie hapo Click to expand... Mkoa Pwani. Shule isiwe ya Kidini.
kibori nangai said: Iko mkoa gani mkuuu na unapendelea shule za aina gani ,za kidini au zisizo za kidini Tuanzie hapo Click to expand... Mkoa Pwani. Shule isiwe ya Kidini.