Shule nzuri za advance

Shule nzuri za advance

kagossey7

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
27
Reaction score
0
wakuu naomben msaada kwa anayejua shule nzuri ya advance na ya bei chee
 
Kumbuka bei chee! na matokeo nayo yakija ni cheee!
 
Nenda sangu sec school. N shule nzuri na wapo makini kwenye kufundisha hasa masomo ya sanaa(arts)
 
Wakubwa naomba malipo ya kibaha sec school ni kiac gani
 
Back
Top Bottom