Shule nzuri za wasichana zenye PCB

Maisha Leo

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
69
Reaction score
55
Wasalaam,
Naomba msaada wa kufahamishwa shule nzuri za wasichana zenye mchepuo wa PCB. Nina mdogo wangu amefaulu vizuri matokeo ya form 4 lakini hajafanikiwa kupita kwene matriculations za shule za Marian, Mary Goreth na Kifungiro. Shule iwe mkoa wowote na kiwango cha ada chochote ili mradi tu iwe na historia ya matokeo mazuri.
Natanguliza shukurani.
 
Rosimini - Tanga Google angalia trend ya matokeo yake 4yrs back ada ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…