Ipi dot com
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 306
- 166
Jela! Unaswali jingine?
<br /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/brick.gif" border="0" alt="" title="Brick" smilieid="139" class="inlineimg" />
<br />Jaribu shule za Jeshi, kuna binamu yangu alikuwa mtukutu yaani alisumbua vibaya mno, kila shule anayotafutiwa lazima aharibu. Yaani alisoma kidato cha tatu miaka 4. Alipopelekwa Kizuka Sekondari kule Ngerengere alinyooka mwenyewe.
kumbe zipo hizi?Habari zenu wakuu?
Naomba msaada wa mwenye kufahamu hili, ukiondoa shule za serikali zinazofundisha watoto wakorofi je kuna shule (sekondari) inayo fanya hivyo angalau kujaribu?