bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Wakuu salut kwenu, wenye ujuzi na uelewa wa masuala ya ukuaji wa miji na majiji naombeni mnipanue uelewa juu ya sifa (universal qualifications) muhmu za mji kupewa hadhi ya jiji (city). Maana yake nikichek jiji kama New York lilivyo na pia huku kwetu TZ jiji kama Tanga na Mbeya na Arusha daah.. Cna hakika kama miji hii inalingana sifa na majiji kama J'burg, Cairo, New York, Hamburg, Cardiff, Copenhagen na mengineyo. Wakuu nipo kwenye dawati tayari mwenye uelewa anipe shule plz...