Shule plz wadau: Nikifikiria New York City na Tanga City daaah..!!

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Wakuu salut kwenu, wenye ujuzi na uelewa wa masuala ya ukuaji wa miji na majiji naombeni mnipanue uelewa juu ya sifa (universal qualifications) muhmu za mji kupewa hadhi ya jiji (city). Maana yake nikichek jiji kama New York lilivyo na pia huku kwetu TZ jiji kama Tanga na Mbeya na Arusha daah.. Cna hakika kama miji hii inalingana sifa na majiji kama J'burg, Cairo, New York, Hamburg, Cardiff, Copenhagen na mengineyo. Wakuu nipo kwenye dawati tayari mwenye uelewa anipe shule plz...
 
Tukizingatia vigezo vya kuwa jiji,Tanzania hatutakuwa na jiji hata moja
 
Tatizo sisi tunaleta siasa hadi kwenye mambo yasiyohitaji siasa,, maigizo hadi kwenye uhalisia..

mkuu umewaza mbali sana eti Arusha mji wenye bara bara moja tu umoja wa mataifa nao unaitwa city.. Tanga sipajui so siwezi kupaongelea...

Yaani inauma sana ukienda kuosha macho nchi za watu halafu ukalinganisha na nyumbani unaweza ukajipiga ngumi kwa hasira...
 
Tukizingatia vigezo vya kuwa jiji,Tanzania hatutakuwa na jiji hata moja
Hakuna kitu kama Vigezo vya Kimataifa vya Mji kuwa Jiji, kila nchi inaweka Vigezo vyake kulingana na inavyoona inafaa!
 

Hakuna kitu kama Vigezo vya Kimataifa vya Mji kuwa Jiji, kila nchi inaweka Vigezo vyake kulingana na inavyoona inafaa!
 
Usipotoshe watu hapa!

Hakuna kitu kama Hicho, wewe ndio unataka kupotosha!
Hebu niambie hicho Kigezo cha Kimataifa kama kama unasema kipo!
Kigezo wanachotumia Marekani siyo kigezo kinachotumiwa na Ujapani, na kigezo kinachotumiwa na Uchina siyo kigezo kinachotumiwa Tanzania!
 

Narudia tena usipotoshe watu mkuu!
 
Mbona unaenda mbali.. Hii Dar compared to NYC inakuwaje.. Nadhani pia majiji yanatofautiana..Kuna Metropolitan haya ndo baba lao na ya chini ya hapo
Population ,Social services,Infastructure ni factors mojawapo kati ya nyingi..

N B : Google basi tupeni shule kidogo
 
Hata dar es salaam cdhani kama ina sifa ya kuitwa jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…