A agwambo halisi Member Joined Jan 22, 2014 Posts 42 Reaction score 2 Jul 12, 2014 #1 Wadau nauliza ni shule zipi za serikali za sekondari zinafundisha masomo ya compyuta na ipo wilaya ipi, kama unaijua maeneo ya kawe, tegeta , mbezi kimara , mwenge naomba tujuzane wadau wa elimu.
Wadau nauliza ni shule zipi za serikali za sekondari zinafundisha masomo ya compyuta na ipo wilaya ipi, kama unaijua maeneo ya kawe, tegeta , mbezi kimara , mwenge naomba tujuzane wadau wa elimu.