real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Shule tano za Sekondari zimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo nchini Kenya katika maeneo tofauti ambapo Viongozi wa shule hizo wanaendelea na upelelezi ili kuweza kubaini chanzo cha moto katika shule zao.
Matukio ya shule kuungua moto yamekuwa yakiongezeka nchini Humo na siku za hivi karibuni wanafunzi 42 walipandishwa kizimbani nchini Kenya, katika mahakama tofauti kwa tuhuma za kuhusika na uchomaji moto shule