shule ya A-level iliyo chni ya jeshi

Joined
Jan 29, 2013
Posts
47
Reaction score
0
Nngependa kujua shule za advnc zilizo chni ya JWTZ au JKT kusin au pwan make nimetoka o'level shcl ilyo chn ya jeshi
 
mi najua za dar tu JITEGEMEE JKT MGULANI,AIR WING JWTZ UKONGA,NA MAKONGO JWTZ LUGALO kwa mikoa ya kusini sijajua ngoja watakuja wenyekujua watakuambia.
 
Eeh nahtaj kuendelea na shule za aina hyo bt vp malangali haiko chni ya jesh wakubwa
 
Kwa hiyo ukimalizia A-level kwenye hizo shule unakuwa umefuzu JKT OR JWTZ?NATAKA KUJUA2 THEN NITARUD
 
Baadae hatutataka kuona shule za jeshi zinaendelea kuwepo nchini.Hatutakuwa na imani na wahitimu kama hawatajiunga na Red brigade
 
Mashule ya jeshi wapo poa sana guys make most of the need ar there and utaenjoy masomo bt sio kama ndo utakuwa umefuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…