Shule ya jumuiya ya
wazazi wa ccm
Mabogo Wilayani
Mvomero yafungiwa
kwa kukosa usajili
na vigezo vya ubora.
Chanzo:ITV
Mkutano wao wa kesho ungejadili pamoja na hili bila kusahau ubora kanyaboya wa shule za ukata zilizo geuka vijiwe vya kujifunzia kupuliza moshi.