Jamani nimesikia shule ya Kikongo iliopo maeneo ya Mwenge Dar es salaam imefungwa na wizara ya elimu.
Kama kuna mtu anajua sababu za kufungwa naomba kujuzwa maana kuna ndugu yangu alitaka kumpeleka mtoto wake pale kwani mwakani anatakiwa kuhamishiwa Kongo kikazi.