Shule ya kwanza ya serikali

Shule ya kwanza ya serikali

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wakuu shule ya kwanza ya serikali tanzania nasikia ni TANGA TECHNICAL ilijengwa na wajerumani miaka ya 1890s , je shule hii inaenziwa vipi na serikali
 
Ni kweli hii habari,kiongozi na wewe mwanakiunga nini?
 
Yani serikali iache kufanya mambo yenye mantiki ,eti ianze kuenzi masalia ya wajerumani...

Tanga tech. imeshaishiwa habari yake,yamebaki magofu tu pale...

Cha msingi watoe ule utech. then igeuzwe kuwa shule ya kata,ili wakaazi wa maeneo jirani wanufaike na rasilimali za hitler
 
shule ya kwanza kwa namna ipi?,kama kwa kujengwa labda inaweza kuwa ya kwanza sina uhakika ila kiusajili (registration) ninavyofahan mim AZANIA SEC ndio ya kwanza reg.no ni S.0101ngoja wataalam waje wafafanue zaidi
 
Back
Top Bottom