Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 242
- 1,141
Kuna tukio linaendelea Lindi katika shule ya Lucas Malia ya wanafunzi wa kike.
Wanafunzi wamechelewa kuripoti na walimu wamekataa kuwapokea tangu Jumapili ya Julai 9, 2023 hali iliyowafanya usiku kulala nje ya shule.
Jumatatu ya Julai 10, 2023 walikuwa hajapokelewa bado, hadi sasa wapo mitaani na usiku wa pili sasa wanalala nje.
Tunaomba mamlaka zifuatilie suala hili.
===
JamiiForums imefuatilia suala hili, soma: Wanafunzi waliochelewa kuripoti shule ya wasichana ya Lucas Malia walala mtaani baada ya kuzuiwa kuingia