Je kwanini mtoto alale nje?Kuchelewa ni kosa la shule au mzazi?
Kama upo kwenye mitandao mingine ya kijamii toa lalamiko lako kwa wahusika muda mwingine comment shida yako unaweza ukapata msaadaKuna tukio linaendelea Lindi katika shule ya Lucas Malia ya wanafunzi wa kike.
Wanafunzi wamechelewa kuripoti na walimu wamekataa kuwapokea tangu Jumapili ya Julai 9, 2023 hali iliyowafanya usiku kulala nje ya shule.
Jumatatu ya Julai 10, 2023 walikuwa hajapokelewa bado, hadi sasa wapo mitaani na usiku wa pili sasa wanalala nje.
Tunaomba mamlaka zifuatilie suala hili.
Kwanini alale nyumbani wakati shule imefunguliwa?.Je kwanini mtoto alale nje?
Kuna tukio linaendelea Lindi katika shule ya Lucas Malia ya wanafunzi wa kike.
Wanafunzi wamechelewa kuripoti na walimu wamekataa kuwapokea tangu Jumapili ya Julai 9, 2023 hali iliyowafanya usiku kulala nje ya shule.
Jumatatu ya Julai 10, 2023 walikuwa hajapokelewa bado, hadi sasa wapo mitaani na usiku wa pili sasa wanalala nje.
Tunaomba mamlaka zifuatilie suala hili.
Sawa lakini kumlaza nje mtoto wa sekondali Tena wa kike pia ni ujinga wa walimu inamaana wamekosa njia nyingine ya kotoa adhabu?Kwani hakukua na time frame ya muda wa kureport,,, hili lilitokea JKT na Limetokea Shule. Ni vile Watanzania hatupendi kwenda na muda af baadae tunataka Public Sympathy. Tujifunze kuzingatia maelekezo.
Shule za private ni kama wanakatiba yao tofauti na nchi, unakuta hata mzazi awe ajalipa ada, mtoto atafukuzwa warudishwe nyumbani na bado ukilipea hawakupi chenji ya siku walizomtoa mtoto shule, na maafisa elimu ukienda kureport wanakuzungusha... Yaani ulaji rushwa kila mahaliHiyo shule wanasoma bure au wazazi wanalipa ada?
Huu upuuzi wa shule za Tanzania nasubiri tu mtoto wangu akue kuna siku nita trend kwa kuwalamba hao waalimu makofi. Haiwezekani mtu una hustle umlipie mwanao halafu hao watu wanazingua kwasababu za kijinga.
Ifike mahali tuheshimiane.
Wakati unawalamba wao watakuwa wanakuangalia tu? au watafungwa mikono kwanza?Hiyo shule wanasoma bure au wazazi wanalipa ada?
Huu upuuzi wa shule za Tanzania nasubiri tu mtoto wangu akue kuna siku nita trend kwa kuwalamba hao waalimu makofi. Haiwezekani mtu una hustle umlipie mwanao halafu hao watu wanazingua kwasababu za kijinga.
Ifike mahali tuheshimiane.
Swali simple.... kuchelewa shule ni kosa la nani? Tuwe na nidhamu, kama mzazi anajua deadline ya kupeleka mtoto, aifuate.. akishindwa aende na mtoto shule akaombe mtoto apokelewe, akishindwa apeleke mtoto shule wanayopokea watoto muda wowote.Je kwanini mtoto alale nje?
ahahahahKwanini alale nyumbani wakati shule imefunguliwa?.
Ukitaka shule ya kuendesha kwa sheria zako, fundishia sebuleni kwakoHiyo shule wanasoma bure au wazazi wanalipa ada?
Huu upuuzi wa shule za Tanzania nasubiri tu mtoto wangu akue kuna siku nita trend kwa kuwalamba hao waalimu makofi. Haiwezekani mtu una hustle umlipie mwanao halafu hao watu wanazingua kwasababu za kijinga.
Ifike mahali tuheshimiane.
Wakati unawalamba wao watakuwa wanakuangalia tu? au watafungwa mikono kwanza?
Naona waalimu mnataka kunipanda kichwani. Hamjui kuwa hizo shule ni biashara? Au mnasomesha bure watoto?Ukitaka shule ya kuendesha kwa sheria zako, fundishia sebuleni kwako
Warud om wakawalete wazazi shida ipo wapi hapoKuna tukio linaendelea Lindi katika shule ya Lucas Malia ya wanafunzi wa kike.