Shule ya Minaki waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano hapo watafungua lini?

a/c2015

Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Habari,wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Kwenda Shule Ya Minaki Wanaripoti Lini? Pia Naomba Namba Za Mwalimu Wa Shule Hiyo. Asanteni Sana Ataenisaidia.
 
Hii mada umechanganya jukwaa.

Cc a/c2015
 
Last edited by a moderator:
Habari,wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Kwenda Shule Ya Minaki Wanaripoti Lini? Pia Naomba Namba Za Mwalimu Wa Shule Hiyo. Asanteni Sana Ataenisaidia.

Dogo unapenda umwinyi,upewe namba ya wewe kama nani,,,nenda shule ukapate taarifa kamili.
 
Back
Top Bottom