Shule ya Msingi Chicheho Wilayani Manyoni haina madawati

Acha wakomae tuu, tuko bize kujenga mwendokasi road na madaraja
Ingawa athari watakazo pata ni kuchakaa kwa nguo haraka
 
Hapo hamna hata mtoto wa diwani .watoto wa wote wanasoma shule binafsi.
Halafu mataahira wanaendelea kukiunga mkono hicho chama cha mahayawani mkono, chama kinachowapa bora elimu na sio elimu bora.

Nchi hii haina uhaba wa mbao, iweje iwe na uhaba wa madawati?

Jibu ni kwamba shida za masikini sio shida za watawala, watoto wa watawala wanasoma kwenye madarasa yenye viyoyozi
 
Fukuza wote.. kuanzia mkuu wa mkoa hadi mratibu wa elimu ..🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…