hawa nao maskini wa kufikiri, wanaishi nyumba nzuri wanashindwa kuchanga pesa kidogo kwa ajili ya vyoo wanasubiri serkali,
shauri yao, mitihani haitakuwa na favour kuwa walifunga shule kisa vyoo.
acheni kutegemea serkali hata kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wa wananchi, ni aiiiiibu tupu, ndio maana serkali wanachanganyikiwa wafanye lipi waache lipi
wakifeli wataanza fulani ajiuzulu wameshasahau vimeo vyao