Nyuma ya Motel Impala,wakati huo Impala,ilikuwa bado haijajengwa,ulikuwa ukisimama kwenye uwanja wa shule unaona mount meru hotel na hotel 77,wakati huo mto ulio mkabala na shule ulikuwa ukitiririsha maji safi yanayofaa kunywa,na kwa upande wapili wa mto (kwa Said Nanga )yalikuwa ni mashamba ya kahawa.