Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nimeangalia taarifa ya ya habari ya Clouds TV saa tano hii .. Nimesikitishwa sana na darasa lililopo kichochoroni katika jimbo la mtera kwa Muheshimiwa kibajaji. Nikikumbuka vijembe vyake na maneno yake bungeni na matusi aliyowahi kuyatoa kwenye majukwaa ya siasa, nashangaa sana.
Halafu shule yenyewe inaitwa Lowasa....
Halafu shule yenyewe inaitwa Lowasa....