Shule ya Msingi Mpigamiti iliyoko Liwale mkoani Lindi iongeze ufaulu ni mbovu shida nini?

Tuoneshe mazingira ya iyo shule
 
Wakati wa kuchagua jina kuwe na kamati maalumu ili jina lisilete utata. Ninashauri kama kuna neno linalotumika kihuni lisitumike kama jina la sehemu.
 
Tuseme mfadhili wa hiyo shule aliitwa vile nayo shule ikampa heshima kwa kutumia jina lake. Hilo ni jina la kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…