Shule ya msingi tangu 1974 ianzishwe haijawa na mwalimu wa kike.

Shule ya msingi tangu 1974 ianzishwe haijawa na mwalimu wa kike.

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Jamani wana janvi mnaweza zani utani kumbe kweli. Shule ya Msingi Jumakisiwani iliyoko Kata ya Katunguru wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza nchi ya Tanzania. Shule hii haijawahi kuwa na mwalimu wa kike tangu ianzishwe miaka ya 1970s. Kijiji ilipo shule nimezaliwa hapo na nimekulia hapo hivyo nina uhakika na ninacho kisema. Wadau wa elimu wilaya ya sengerema jaribuni kuliangalia hili kwa jicho la tatu, maana lina madhara kwa wanafunzi hasa mabinti ambao wanahitaji uangalizi maalmu kutoka kwa matrons. Katika kipindi hiki ambapo ajira ndio zinaelekea kutangazwa fanyeni hima ipewe walimu wa kike jamani.
 
Back
Top Bottom