Shule ya Msingi kutoza fedha za mtihani kila ijumaa ni halali,shule hiyo pia hutoza rimu ya karatasi kwa ajili ya mtihani achilia mbali fedha ya mlinzi kwa mtindo huu tutafika?Mwanafunzi asiyelipa fedha hii hupewa adhabu pamoja na kuwa hajafanya mtihani huo.Je wizara ya elimu inayajua haya?wazazi wasumbuliwa kwa mambo mengi kwani tuisheni pia pembeni.