Kama hiyo mitihani inakuwa na ubora unaokubalika na malengo mazuri ya kumjenga kijana wako, nadhani ni jambo zuri. Labda tatizo ninaloliona linaweza kuwa walezi na walezi hawakuwa wameshirikishwa ipasavyo ktk uanzishwaji na uratibu wa jambo lenyewe, au labda wewe ndiwe uliye-skip mkutano wa wazazi. Unless stated otherwise inabidi utupe full story muzee.
Kama mitihani hiyo ina umuhimu, ni vizuri kuiingiza katika michango ya mwaka, yaani mzazi akilipa pamoja na Karo inakuwa mara moja tu kuliko kila ijumaa na kuwafanya watoto kuwa kwenye stress. Kazi ya karo(ada) fees ni administrative issues including mitihani, mishahara ya walimu kama ni private school, na huduma zote zinazohusu kutoa elimu. Sasa kuweka mafungu katika haya ni wizi ambao unatakiwa kukemewa.