Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Wakuu kwema?
Nianze kwa Ku declare interest ya kuwa mm ni mwalimu by professional,na nikiwa kama mwalimu na mwenyeji wa halmashauri mpya hii ya BUCHOSA yenye makao makuu yake katka mji wa NYEHUNGE,napenda kwa dhati kabisa kukushirikisha fursa hii niliyo iona ktk huu mji wa Nyehunge!!!
Kwa kutumia professional yangu ya ualimu nimegundua uhitaji mkubwa sana wa uwepo wa shule binafsi ya secondary ktk eneo hili la nyehunge, kwani ukumbuke ya kuwa hadi mda huu naandika hakuna shule ya secondary inayo milikiwa na mtu binafsi.
Kwa nini shule binafsi?
Kwa kuanza yakupasa uelewe ya kuwa hii halmashauri ya buchosa inawakazi wengi sana na wenye kiu ya elimu hvo uhitaji wao wa kusoma bado upo juu,hii inaweza kudhibitishwa kwa kuangalia ni namna gani wazazi wanahangaika kutafuta shule za binafsi zilizo mbali mfano Mwanza manispaa na mikoa ya jirani kama Geita..
Pia utambue ya kuwa shule hii itakuwa ya kwanza na ya pekee wa halmashauri zima ya Buchosa hvo uwezekano wa upatikanaji wa wanafunzi ni wauhakika!
Nini kifanyike ?
Nikukaribushe ww mjasirimali uje kuwekeza kwenye hii sekta ya elimu kwenye hii halmashauri naamini hutajutia !
Mchanganuo wa gharama na vibali vya namna ya kusajili shule naomba kwa pamoja tuendelee kujadili katk huu mjadala maana sipend kuwachosha kwa maandishi mengi!!
Asanteni sana !!!
Mzaleee/Rafiki!